Habari ndugu mtembeleaji wa blog ya BongoHertz. Kazi yetu ni kukusogezea burudani zote zihusuzo muziki kiganjani mwako. Sasa tumekuongezea huduma ya kustream radio live katika blog yetu ambapo tumeanza na radio chache, lakini kwa kadiri muda unavyozidi kwenda zitazidi kuongezeka siku hadi Siku na kuzidi kupata burudani zaidi. Karibu sana

0 Comments