Diamond Platnumz ambaye ndiye mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi. Ameitisha mkutano Leo wa wahandishi wa habari akizungumzia tamasha la Wasafi Festival 2019 linalosimamiwa na kampuni yake kuwa litafanyika mwaka huu 2019. Na pia kuzungumzia kwanini tamasha hilo halikufanyika jijini Dar mwaka jana 2018.
Video hiyo apo chini