Moja ya wanamuziki wanaotrend sana mitandaoni Dudubaya aka Konki Master ameongea leo katika instagram yake jinsi anavyobaniwa na kituo kikubwa cha habari kiitwacho East Africa kinacho miliki redio na TV.

Hii ndio post yake ya video aliyo jirekodi akisema hayo