Fid Q na Joh Makini ni moja kati ya marappers wakubwa Tanzania na kwa kipindi cha nyuma wamekuwa wakihusianishwa na masuala ya kuwa na bifu, basi katika refresh ya Wasafi TV Fid Q amesema yakuwa yeye hana bifu na msanii Joh Makini na kusema kuwa hilo ni bifu lilotengenezwa na mashabiki. Amezungumza hayo baada ya kuulizwa masuala ya bifu na wasanii, pamoja na bifu lake na Joh Makini

Video hiyo apo chini