[News] Tegemea ngoma mpya kutoka kwake Diamond Platnumz na Yalevis

Msanii nguli wa muziki Tanzania Diamond Platnumz, amejipost akiwa studio na msanii wa Congo YaLevis wakiwa katika mchakato wa kutoa ngoma mpya. Kwahiyo wakati wowote ule tegemea kupata kionjo kutoka kwa wasanii hawa

Hii ni post yake Diamond akiwa studio


View this post on Instagram

A post shared by Chibu Dangote..! (@diamondplatnumz) on

Post a Comment

0 Comments