Baada ya tukio la TID kupigwa na kutrend katika mitandao ya kijamii, Q Chief ameonekana kufurahia tukio hilo. Hivyo TID amemzungumzia Q Chief baada ya tukio hilo na kusema kuwa ana roho mbaya na kuwa yeye kama TID hawezi kufurahishwa kuona msanii mwenzake akiumizwa na kubezwa. Hayo yote yameongelewa katika Ayo TV
0 Comments